"Kuhifadhi kikamilifu"
"Kurejesha kila kitu"
"Ombi la kuhifadhi nakala rudufu kamili za data kwenye eneo kazi la kompyuta iliyounganishwa limewasilishwa. Ungependa shughuli hii ufanyike?\n\n Ikiwa sio wewe uliyewasilisha ombi hili, usikubali shughuli hii iendelee."
"Hifadhi nakala ya data yangu"
"Usicheleze"
"Kurejesha kamili kwa data nzima kutoka kwa eneo kazi la kompyuta lililounganishwa limeombwa. Unataka kuruhusu hii kutendeka?\n\n Ikiwa hukuweza kurejesha upya mwenyewe, usiruhusu uendeshaji huu kuendelea. Hii itaweka upya data yoyote iliyo kwenye kifaa hiki sasa!"
"Rejesha upya data yangu"
"Usirejeshe upya"
"Tafadhali ingiza nenosiri unalotumia kuhifadhi nakala rudufu hapo chini:"
"Tafadhali ingiza nenosiri la usimbaji fiche wa kifaa chako hapo chini."
"Tafadhali ingiza nenosiri lako la msimbo fiche hapo chini. Pia litatumika kusimba fiche jalidi ya hifadhi."
"Tafadhali ingiza nenosiri la kutumia katika kusimba nakala rudufu kamili za data kwa njia fiche. Ikiwa hii itawachwa wazi, nenosiri lako la sasa litatumika:"
"Ikiwa unataka kusimba kwa njia fiche nakala rudufu za data, ingiza nenosiri lililo hapo chini:"
"Ikiwa data iliyorejeshwa upya, tafadhali ingiza nenosiri lililo hapo chini:"
"Inaanza kuhifadhi..."
"Imemaliza kuhifadhi"
"Inaanza kurejesha..."
"Kurejesha kumekamilika"
"Muda wa uendeshaji umeisha"