<stringname="backup_confirm_text"msgid="1878021282758896593">"Ombi la kuhifadhi nakala kamili za data kwenye eneo kazi la kompyuta iliyounganishwa limewasilishwa. Ungependa shughuli hii ufanyike?\n\n Ikiwa si wewe uliyewasilisha ombi hili, usikubali shughuli hii iendelee."</string>
<stringname="restore_confirm_text"msgid="7499866728030461776">"Kurejesha kamili kwa data nzima kutoka kwa eneo kazi la kompyuta lililounganishwa limeombwa. Unataka kuruhusu hii kutendeka?\n\n Ikiwa hukuweza kurejesha upya mwenyewe, usiruhusu uendeshaji huu kuendelea. Hii itaweka upya data yoyote iliyo kwenye kifaa hiki sasa!"</string>
<stringname="allow_restore_button_label"msgid="3081286752277127827">"Rejesha upya data yangu"</string>
<stringname="current_password_text"msgid="8268189555578298067">"Tafadhali weka nenosiri unalotumia kuhifadhi nakala hapo chini:"</string>
<stringname="device_encryption_restore_text"msgid="1570864916855208992">"Tafadhali weka nenosiri la kifaa chako la kusimba kwa njia fiche hapo chini."</string>
<stringname="device_encryption_backup_text"msgid="5866590762672844664">"Tafadhali weka nenosiri lako la kusimba kifaa kwa njia fiche hapo chini. Pia litatumika kusimba kumbukumbu za nakala kwa njia fiche."</string>
<stringname="backup_enc_password_text"msgid="4981585714795233099">"Tafadhali weka nenosiri la kutumia katika kusimba nakala kamili za data kwa njia fiche. Ikiwa sehemu hii itawachwa wazi, nenosiri lako la sasa litatumika:"</string>
<stringname="backup_enc_password_optional"msgid="1350137345907579306">"Ikiwa unataka kusimba nakala za data kwa njia fiche, weka nenosiri hapo chini:"</string>
<stringname="restore_enc_password_text"msgid="6140898525580710823">"Ikiwa data imesimbwa kwa njia fiche, tafadhali weka nenosiri lake hapo chini:"</string>